Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja
Thursday, April 21, 2022
Sunday, January 30, 2022
Saturday, January 15, 2022
Wednesday, November 24, 2021
Friday, November 5, 2021
Sunday, April 28, 2019
AJIRA MBADALA ZA WALIMU APRIL 2019
Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imepata kibali cha kuajiri jumla ya Walimu 4,549 kati ya waombaji 91,108 waliotuma maombi yao.
Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Selemani Jafo amesema jumla ya waombaji waliojitokeza na kutuma maombi
katika nafasi mbalimbali walikuwa 91,108 na kati ya hao, 43,770 sawa na
asilimia 48.04 maombi yao yalikuwa na viambatanisho vyote
vilivyohitajia.
Kusoma Majina ya Walimu waliopata ajira na kupangiwa vituo bofya hapa:
Majina ya Walimu wa Ajira Mbadala Shule za Msingi na Sekondari Aprili 2019.pdf
Subscribe to:
Posts (Atom)
