Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Saturday, March 18, 2023

Saturday, May 14, 2022

MANYONI DC. IDADI YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KWA KILA SHULE

Hapa nimekuletea mchanganuo wa kila shule na idadi ya wanafunzi waliochaguliwa vyuo na Form V 2022

Ngaiti.............16

Chikuyu........ 22

Kizigo........... 20

Mkwese........  3

St John......... 41 

Kilimatinde....18 

Isseke.............11 

Sasajila ...........3

Manyoni........ 36

Kintiku .............9

Aman Girls ....86 

Nkonko ..........15 

Makanda .........5

Mlewa ............34 

Kinangali....... 12 

Mwanzi ..........52

Makuru ..........13

Heka.............. 20

Sanza   ..........10

JUMLA ..........426

Hakika walimu wamefanya kazi kubwa wanastahili pongezi inawezekana huu mwaka idadi ya watoto wanaoendelea na masomo ya juu zaidi imeongezeka ukilingnisha na miaka mingine.

Mwl. Venance, F.K

0715335558

@fullraha17