Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

VICHEKESHO

Mzungu na Kiswahili
Mzungu mmoja litembelea mradi unaofadhiliwa na nchi yake,
 akawa anahutubia, kwa lafudhi ya kizungu, "Kila nikitaka
kunya naharisha, kila nikitaka kunya naharisha, leo nimekunya
mbele yenu si mnaona?" Wananchi wakabaki wanashangaa Mzungu,  ikabidi mkalimani aingilie kati na kufafanua kuwa mzungu anamaanisha kuwa, kila nikitaka kuja naahilisha kila nikitaka kuja naahilisha lakini leo nimekuja mbele yenu si mnaona?
 
Mmakonde na Mama Ntilie
Mmakonde mmoja alienda kwa mama ntilie akanunua uji wa ulezi, akanywa akamaiza wakati analipia ela ikabidi amshukuru, mama ntilie, "Achate mama, uchi wako ntamu halafu wa moto huo!" mama wa watu kachukua sufuria la uji na kumwagia mzee wa watu..kilichoendelea mie sijui maana nilitoka nduki

 
Mmasai na Mauno ya Mtoto wa Kitanga
mmasai mmoja alimtongoza demu wa Kitanga, demu akakubali, 
Mmasai akatafuta gest akalipia, wakiwa ndani wakati wana-do,
si ndo mmasai akashtuka! ikabidi akaanza kumuuliza yule demu:
 
Mmasai : Nani tongosa mwensake?
Demu: wewe ndo umenitongoza
Mmasai: Nani leta hapa mwensake?
Demu: Wewe ndo umenileta mimi hapa
Mmasai: Nani lipia gesti?
Demu: Wewe ndo umelipia
Mmasai: Nani lipa mwensake pesa?
Demu : Wewe ndo umenilipa mimi pesa
Mmasai : Sasa mbona wewe watfanya mimi badala ya mimi fanya wewe?
Dah! demu kabaki hoi
 
Mwalimu na Wanafunzi
Mwalim:we John unacheka nini?
John:nimeona paja lako mwl!
Mwl:huna adabu toka na usirudi hadi kesho.
Mwl:na we Michael vipi?
Michael:nimeona chupi yako.
Mwl:shenzi,toka na usirudi wiki nzima.
Mwl:na we SELE unaenda wapi?
SELE:kwa nilichokiona mm nadhani
 nimefukuzwa shule kabisa...je SELE aliona nn?.

 Jamaa na Demu wake
Jamaa: Sweet unaweza kuotea nimekununulia zawadi gani?
Demu: Jamani sweet siuseme umeninunulia zawadi gani? au laptop!
Jamaa: Hapana, si unakumbuka ile RAV4 uloiona ukaipenda rangi yake
Demu: Jamani sweet I love you, RAV4!!
Jamaa: Hapana, nimekununulia mswaki una rangi kama ile.
Demu: Lione, kama chizi vile,nyoo!...
 
 
Tupia kichekesho chako hapa chini, tukirushe hewani



No comments:

Post a Comment