Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Sunday, May 24, 2015

KAMA ULIMISS MAHAFALI YA CHASO-DAR ES SALAAM NIMEKULETEA TUKIO ZIMA KATIKA PICHA

Tarehe 23/05/2015 ilikuwa ni siku ya mahafali ya wanafunzi wa elimu ya juu kwa vyuo vilivyopo mkoa wa Dar es salaam. Mahafali hayo yalihudhuriwa na Mabere Marando, Prof. Baregu na Mbunge wa Ubungo John Mnyika. zifuatazo ni baadhi ya picha ya tukio hilo.

 
Mbunge wa jimbo la Ubungo akihutubia wanafunzi
 wa wanachama wa CHASO DSM







                                Mabere Marando akihutubia wanafunzi wa vyuo vikuu DSM

  Prof. Baregu akiwahutubia wasomi wa vyuo vikuu DSM








 Mbunge wa Ubungo John Mnyika



 Makanda wakitunukiwa vyeti vya uanachama wa CHASO DSM











 Naibu mratibu mkoa akitoa neno
 Viongozi wapya wa CHASO DSM wakila kiapo



 Viongozi wapya wa CHASO-DSM wakila kiapo

 Zoezi la vyeti kama kawa




 Prof. J. Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la mikumi akifanya yake








 John Mnyika naye akifanya yake



  Mbunge wa Jimbo la Ubungo John Mnyika akihutubia 



Prof. Baregu akiongea na waandishi wa habari


Makamanda katika ubora wao







Picha na Furaha Venance (Baba D,)
0715 33 55 558