Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Monday, March 4, 2013

BREAKING NEWZ : MATOKEO YA AWALI YA URAIS KENYA HAYA HAPA



Habari kutoka Uchaguzi wa Kenya ni kwamba Mgombea wa Jubilee Uhuru Kenyatta anaongoza kwa 52% na Raila Odinga ana 32%, bado kura zinaendelea kuhesabiwa ila this time ni Electronics tupu so hakuna ubabaishaji!! .......................Stay Tuned!!


Uhuru Kenyatta (TNA) 414, 973, Raila Odinga (ODM) 279, 773, Musalia Mudavadi (UDF) 16, 355
Chanzo: http://bongonewztz.blogspot.com/2013/03/breaking-newz-matokeo-ya-awali-ya-urais.html#.UTThDXybCK4.facebook