Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Monday, July 28, 2014

AJIRA ZA UHAMIAJI ZASITISHWA, NI WALE WA USAHILI ULIOVUNJA REKODI, ASILIMIA 90 YA WALIOPATA AJIRA WALIKUWA NDUGU ZA WAFANYAKAZI WA IDARA HIYO

Habari yenyewe ilikuwa hii, baadhi ya majina ya watu hao haya hapa chini, na chini kabisa nilitoa ushauri ambao serikali umeuzingatia, sasa ichukue hatua zaidi kwa wahusika kuchakuliwa hatua kali za kisheria, tujikumbushe habari yenyewe:

ULE USAHILI WA UHAMIAJI ULIOVUNJA REKODI 90% YA WALIPITA WADAIWA KUWA NI WATOTO NA NDUGU WA WAFANYAKAZI WA UHAMIAJI, MAJINA YAO NA NDUGU ZAO YOTE YAKO HAPA

Matokeo ya Usaili wa nafasi za kazi Uhamiaji yaliyotolewa katika magazeti mbalimbali mwezi Julai, 2014 yameonesha kuwa katika dara hiyo watanzania wengine mbali ya watoto au ndugu wa wafanyakazi wa idara hiyo hawawezi kupata ajira ndani ya idara hiyo ya Serikali kirahisi na hiyo inatokana na ukweli kwamba majina ya wengi walioitwa kazini ni watoto au ndugu wa wafanyakazi wa idara hiyo kama jinsi majina yanavyoonekana hapa chini:
1. Abdulhaq Amin Mandemla – Mtoto wa afisa Uhamiaji Amin Mandemla
2. Alphonce Kishe – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Aleluya Kishe
3. Asha Burhani Idd – Ndugu ya Afisa Uhamiaji Tatu Burhani Idd
4. Beatrice Temba – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Joseph Kasike
5. Geofrey Justine Mhagama – Ndugu ya Afisa Uhamiaji Rose Mhagama
6. Iginga Daniel Mgendi – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Daniel Mgendi
7. Issack Michael Makwinya – mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Makwinya
8. John Alfred Mungulu – mtoto wa Afisa Uhamiaji Alfred Mungulu
9. Joseph A. Milambo - mtoto wa Karani wa Uhamiaji Milambo
10. Michael J. Choma – mtoto wa Afisa Uhamiaji John Choma
11. Shimba H Zakayo – mtoto wa Afisa Uhamiaji Zakayo Mchele
12. Upendo E. Mgonja - mtoto wa Afisa Uhamiaji Mgonja
13. Vaileth A. Kidesu – mtoto wa Afisa Uhamiaji Adam Kidesu
14. Elizabeth Edward – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Edward Martin
15. Ester Mahirane – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Mahirane
16. Basil Lucian John – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Dismas Lucian
17. Frank E Kajura- Ndugu wa Afisa Uhamiaji Kajura
18. Jacob P. Ulungi – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Magnus Ulungi
19. Janeth John Milinga – Ndugu wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Milinga
20. Janeth R Lukuwi – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Eliza Lukuwi
21. Joseph N. Yondani – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Mary Yondani
22. Leila khatib Irovya - Mtoto wa Afisa Uhamiaji Abbas Irovya
23. Lucian F. Mlula – ndugu wa Afisa Uhamiaji Dismas Mlula
24. Neema Kasian Lukosi- Ndugu wa Afisa Uhamiaji Zubeda Abbas
25. Pendo D. Gambadu – ndugu wa Afisa Uhamiaji Gambadu
26. Paschalia E. Mwenda – ndugu wa Martin Edward mwenda
27. Theresia Ernest Kalunde – Mtoto wa Ernest Kalunde
28. Veronica G Vitalis – Mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Vitalis Mlay
29. Victor G. Mlay- Mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Vitalis Mlay
30. Catherine J. Mapunda- mtoto wa Afisa Lucy Mapunda

Hawa ni wachache tu kati ya wale walioajiriwa Uhamiaji ila zaidi ya asilimia tisini ni watoto na ndugu wa Maafisa Uhamiaji.
Nadhani ingekuwa vyema kama wahusika wasingekuwa wanatangaza nafasi hizi bali wawe wanagawiana ndani kwa ndani.
 
Baba D blog, inaiomba serikali kufanya uchunguzi wake kuangalia kama kuna mazingira ya kupeana kazi kindugu bila kuangalia sifa zinazostahiki na kama itajulikana kuwa watu hawa wamepita kwa upendeleo nafasi hizo zitenguliwe ili kuleta imani kwa wananchi, mambo kama haya huwa yanachochea sana nchi kujiingiza katika machafuko watu wakikata tamaa kuwa mifumo yetu haiwezi kuwasaidia, na kama itaonekana taratibu zilifuatwa basi serikali itoe ufafanuzi kwa umma, kabla sumu hii haijasambaa

Saturday, July 26, 2014

HUSSEIN MACHOZI ADAIWA KUFANIWA NA MKE WA TU NCHINI KENYA, APEWA SAA 24 AWE AMERUDI BONGO

Hussein Machozi afumaniwa akizini na mke wa mwanasiasa maarufu Kenya 

Hit maker wa  ‘Kwa Ajili Yako’, Hussein Machozi aliyekuwa ameweka kambi na kukubalika sana nchini Kenya anadaiwa kuwa amefumaniwa na mke wa mwanasiasa wa nchini humo na kupewa masaa 24 kuvuka mpaka wa Kenya.
Kwa mujibu wa gazeti la The Star la Kenya, Hussein Machozi alikuwa anatembea na mwanamke wa mwanasiasa huyo wa Mombasa kwa muda mrefu kwa siri huku wakiwa na mipango mikubwa ikiwa ni pamoja na kununua nyumba.
Lakini mapenzi ni kikohozi, siri hiyo ilimfikia mwanasiasa huyo baada ya kushtukia pale alipoona ujumbe usio wa kawaida kwenye simu ya mkewe kwa njia ya WhatsApp.
Mwanasiasa huyo ambaye anadaiwa kuwa mtu anaesafiri mara kwa mara  kufanya biashara na kushughulikia mambo ya siasa aliamua kuweka mtego ambao ulimnasa mwizi wake na kumtia mikononi mwake.
Gazeti hilo linaeleza kuwa liliongea na rafiki wa karibu wa Hussein Machozi wa Mombasa anaefahamika kwa jina maarufu Notystee na alikiri kutokea kwa tukio hilo.
“Nilishtuka pale nilipopokea simu kutoka kwa Hussein Machozi akiniambia kuwa alikuwa katika tatizo. Aliniambia mapema kuwa anaenda kukutana na mwanamke ambaye alikuwa mpenzi wake lakini sikujua kitu ambacho kingetokea.”
Hata hivyo, Hussein Machozi anaonekana bado yuko nchini Kenya kwa mujibu wa chanzo chetu.

Kwa msaada wa: www.timesfm.co.tz

ULE USAHILI WA UHAMIAJI ULIOVUNJA REKODI 90% YA WALIPITA WADAIWA KUWA NI WATOTO NA NDUGU WA WAFANYAKAZI WA UHAMIAJI, MAJINA YAO NA NDUGU ZAO YOTE YAKO HAPA

Matokeo ya Usaili wa nafasi za kazi Uhamiaji yaliyotolewa katika magazeti mbalimbali mwezi Julai, 2014 yameonesha kuwa katika dara hiyo watanzania wengine mbali ya watoto au ndugu wa wafanyakazi wa idara hiyo hawawezi kupata ajira ndani ya idara hiyo ya Serikali kirahisi na hiyo inatokana na ukweli kwamba majina ya wengi walioitwa kazini ni watoto au ndugu wa wafanyakazi wa idara hiyo kama jinsi majina yanavyoonekana hapa chini:
1. Abdulhaq Amin Mandemla – Mtoto wa afisa Uhamiaji Amin Mandemla
2. Alphonce Kishe – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Aleluya Kishe
3. Asha Burhani Idd – Ndugu ya Afisa Uhamiaji Tatu Burhani Idd
4. Beatrice Temba – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Joseph Kasike
5. Geofrey Justine Mhagama – Ndugu ya Afisa Uhamiaji Rose Mhagama
6. Iginga Daniel Mgendi – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Daniel Mgendi
7. Issack Michael Makwinya – mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Makwinya
8. John Alfred Mungulu – mtoto wa Afisa Uhamiaji Alfred Mungulu
9. Joseph A. Milambo - mtoto wa Karani wa Uhamiaji Milambo
10. Michael J. Choma – mtoto wa Afisa Uhamiaji John Choma
11. Shimba H Zakayo – mtoto wa Afisa Uhamiaji Zakayo Mchele
12. Upendo E. Mgonja - mtoto wa Afisa Uhamiaji Mgonja
13. Vaileth A. Kidesu – mtoto wa Afisa Uhamiaji Adam Kidesu
14. Elizabeth Edward – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Edward Martin
15. Ester Mahirane – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Mahirane
16. Basil Lucian John – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Dismas Lucian
17. Frank E Kajura- Ndugu wa Afisa Uhamiaji Kajura
18. Jacob P. Ulungi – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Magnus Ulungi
19. Janeth John Milinga – Ndugu wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Milinga
20. Janeth R Lukuwi – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Eliza Lukuwi
21. Joseph N. Yondani – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Mary Yondani
22. Leila khatib Irovya - Mtoto wa Afisa Uhamiaji Abbas Irovya
23. Lucian F. Mlula – ndugu wa Afisa Uhamiaji Dismas Mlula
24. Neema Kasian Lukosi- Ndugu wa Afisa Uhamiaji Zubeda Abbas
25. Pendo D. Gambadu – ndugu wa Afisa Uhamiaji Gambadu
26. Paschalia E. Mwenda – ndugu wa Martin Edward mwenda
27. Theresia Ernest Kalunde – Mtoto wa Ernest Kalunde
28. Veronica G Vitalis – Mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Vitalis Mlay
29. Victor G. Mlay- Mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Vitalis Mlay
30. Catherine J. Mapunda- mtoto wa Afisa Lucy Mapunda

Hawa ni wachache tu kati ya wale walioajiriwa Uhamiaji ila zaidi ya asilimia tisini ni watoto na ndugu wa Maafisa Uhamiaji.
Nadhani ingekuwa vyema kama wahusika wasingekuwa wanatangaza nafasi hizi bali wawe wanagawiana ndani kwa ndani.
 
Baba D blog, inaiomba serikali kufanya uchunguzi wake kuangalia kama kuna mazingira ya kupeana kazi kindugu bila kuangalia sifa zinazostahiki na kama itajulikana kuwa watu hawa wamepita kwa upendeleo nafasi hizo zitenguliwe ili kuleta imani kwa wananchi, mambo kama haya huwa yanachochea sana nchi kujiingiza katika machafuko watu wakikata tamaa kuwa mifumo yetu haiwezi kuwasaidia, na kama itaonekana taratibu zilifuatwa basi serikali itoe ufafanuzi kwa umma, kabla sumu hii haijasambaa.

Friday, July 18, 2014

MATOKEO YA UALIMA DIPLOMA

MATOKEO YA UALIMU SEKONDARI DIPLOMA 2014 BOFYA HAPA CHINI

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014

               KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 BOFYA HAPA CHINI

                                   MATOKEO KIDATO CHA VI 2014 BOFYA HAPA 

Sunday, July 6, 2014

KAMA ULIMISS SHEREHE YA HARUSI YA KIJANA WA MAMA MSONGO (PASCAL MSONGO), INGIA HAPA UJIONEE JINSI ILIVYOFANA

SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE 5/7/2014, WAKAZI WA MANYONI, HUSUSANI MANYONI MJINI TULISHEHEREKEA SHEREHE YA HARUSI YA KIJANA WA MAMA MSONGO ANAYEJULIKANA KWA JINA LA PASCAL, KIJANA HUYO ALIFUNGA NDOA NA FAITH, NDOA ILIYOFUNGWA KATIKA KANISA LA RC, PAROKIA YA KUPAA BWANA MANYONI NA KUFUATIWA NA TAFRIJA FUPI ILIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MAKTABA, HIVYO BASA BABA D. BLOG IMEAMUA KUKULETEA TUKIO HILO KATIKA PICHA...

Na: Mwl. Venance F. (Manyoni-Singida)
VIJANA WA SHOW WAKIINGIA KWA MBWEMBWE

BWANA HARUSI & BI. HARUSI WAKIWA KATIKA
TABASAMU MWANANA KUJIANDAA KUINGIA
UKUMBINI

WAZAZI WA BWANA HARUSI WAKIWA
TAYARI KUWAPOKEA MAHARUSI

UKAWADIA WASAA, HAOO! BWANA & BIBI HARUSI
 WAKAANZA KUINGIA UKUMBINI

                                   UNAWEZA SEMA, WANAZINDUA KISIMA CHA MAJI,
                                       LA HASHA, HAPO WANAKATA UTEPE KUINGIA
                                                              UKUMBINI BWANA! !!!!!
                                 HAO! HATIMAYE WAKAINGIA NDANI YA NYUMBA

                                        BINTI KAJIPINDA!!! ANAONESHA KIPAJI CHAKE
                                            CHA KUYARUDI, CHEZEA BI HARUSI WEWE!!

MWENYEKITI NA KAMATI YAKE AKIWAKARIBISHA WAGENI

PICHA YA PAMOJA NA WAZAZI WA BWANA HARUSI

WAZAZI WA BI HARUSI NA NDUGU ZAKE
 WAKIPATA PICHA YA PAMOJA
WAPAMBE NAO HAWAKUWA NYUMA

MAMA WA BWANA HARUSI AKITOA NASAA
BABA WA BI. HARUSI AKITOA NASAA KWA MAHARUSI

BWANA NA BIBI HARUSI WAKISIKILIZA KWA
MAKINI NASAA ZA WAZAZI
  
BAADAYE IKAFUATIA NA BURUDANI YA KUFA MTU

UKAWADIA WASAA WA KUKATA KEKI

DAH! EBWANA TAAAAM!!!!!!

HAWA NAO WAKAKUMBUSHIA ENZI ZILE.....!

BI HARUSI AKIPELEKA KEKI UKWENI
       
                                             BWANA HARUSI NA MPAMBE WAKE
                                                    WAKIPELEKA KEKI UKWENI
                                      
                                             MWENYEKITI WA KAMATI MWENYE SUTI
                                                NA KATIBU WAKE WAKIPOKEA KEKI
UKAFIKA WAKATI WA KUFUNGUA SHAMPENI

                                            DUUH! HUYO NDO KOMANYA BWANA!
                                                          
                                                      MAMBO YA PWANI HAYO,
                                                NA MTIKISIKO WA MWAMBAO
                                                          WATU WALITOKELEZEAJE!!!!!!
                                                
                                DUUH! HII NDO ILIKUWA ZAWADI YA FUNGA MWAKA
                                       VIJANA WAKIKABIDHIWA ZAWADI YA BIBLIA
                            NA WAZAZI, SASA MUISOME HIYO SIYO MNAIFUNGIA KABITI

                                                 BI. HARUSI AKIOMBEA CHAKULA

HAYA BWANA! MKAKANDAMIZE MENU

                                            MMILIKI WA HII BLOG NAYE HAKUKOSA

BABA D BLOG, INAPENDA KUWAPONGEZA MAHARUSI KWA KUAMUA KUFUNGA NDOA, TUNAPENDA KUWAKUMBUSHA KUWA, NDOA INA CHANGAMOTO ZAKE MUWE TAYARI KUPAMBANA NA HIZO CHANGAMOTO, TUNAWATAKIA KILA LA HERI KATIKA MAISHA MAPYA YA NDOA.

HABARI NA PICHA NA:
MWL. VENANCE F. (BABA D)