Matokeo ya Usaili wa nafasi za kazi Uhamiaji yaliyotolewa katika magazeti mbalimbali mwezi Julai, 2014 yameonesha kuwa katika dara hiyo watanzania wengine mbali ya watoto au ndugu wa wafanyakazi wa idara hiyo hawawezi kupata ajira ndani ya idara hiyo ya Serikali kirahisi na hiyo inatokana na ukweli kwamba majina ya wengi walioitwa kazini ni watoto au ndugu wa wafanyakazi wa idara hiyo kama jinsi majina yanavyoonekana hapa chini:
1. Abdulhaq Amin Mandemla – Mtoto wa afisa Uhamiaji Amin Mandemla
2. Alphonce Kishe – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Aleluya Kishe
3. Asha Burhani Idd – Ndugu ya Afisa Uhamiaji Tatu Burhani Idd
4. Beatrice Temba – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Joseph Kasike
5. Geofrey Justine Mhagama – Ndugu ya Afisa Uhamiaji Rose Mhagama
6. Iginga Daniel Mgendi – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Daniel Mgendi
7. Issack Michael Makwinya – mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Makwinya
8. John Alfred Mungulu – mtoto wa Afisa Uhamiaji Alfred Mungulu
9. Joseph A. Milambo - mtoto wa Karani wa Uhamiaji Milambo
10. Michael J. Choma – mtoto wa Afisa Uhamiaji John Choma
11. Shimba H Zakayo – mtoto wa Afisa Uhamiaji Zakayo Mchele
12. Upendo E. Mgonja - mtoto wa Afisa Uhamiaji Mgonja
13. Vaileth A. Kidesu – mtoto wa Afisa Uhamiaji Adam Kidesu
14. Elizabeth Edward – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Edward Martin
15. Ester Mahirane – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Mahirane
16. Basil Lucian John – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Dismas Lucian
17. Frank E Kajura- Ndugu wa Afisa Uhamiaji Kajura
18. Jacob P. Ulungi – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Magnus Ulungi
19. Janeth John Milinga – Ndugu wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Milinga
20. Janeth R Lukuwi – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Eliza Lukuwi
21. Joseph N. Yondani – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Mary Yondani
22. Leila khatib Irovya - Mtoto wa Afisa Uhamiaji Abbas Irovya
23. Lucian F. Mlula – ndugu wa Afisa Uhamiaji Dismas Mlula
24. Neema Kasian Lukosi- Ndugu wa Afisa Uhamiaji Zubeda Abbas
25. Pendo D. Gambadu – ndugu wa Afisa Uhamiaji Gambadu
26. Paschalia E. Mwenda – ndugu wa Martin Edward mwenda
27. Theresia Ernest Kalunde – Mtoto wa Ernest Kalunde
28. Veronica G Vitalis – Mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Vitalis Mlay
29. Victor G. Mlay- Mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Vitalis Mlay
30. Catherine J. Mapunda- mtoto wa Afisa Lucy Mapunda

Hawa ni wachache tu kati ya wale walioajiriwa Uhamiaji ila zaidi ya asilimia tisini ni watoto na ndugu wa Maafisa Uhamiaji.
Nadhani ingekuwa vyema kama wahusika wasingekuwa wanatangaza nafasi hizi bali wawe wanagawiana ndani kwa ndani.

Kwa msaada wa maishatimes.blogspot.com
Baba D blog, inaiomba serikali kufanya uchunguzi wake kuangalia kama kuna mazingira ya kupeana kazi kindugu bila kuangalia sifa zinazostahiki na kama itajulikana kuwa watu hawa wamepita kwa upendeleo nafasi hizo zitenguliwe ili kuleta imani kwa wananchi, mambo kama haya huwa yanachochea sana nchi kujiingiza katika machafuko watu wakikata tamaa kuwa mifumo yetu haiwezi kuwasaidia, na kama itaonekana taratibu zilifuatwa basi serikali itoe ufafanuzi kwa umma, kabla sumu hii haijasambaa.
No comments:
Post a Comment