SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE 5/7/2014, WAKAZI WA MANYONI, HUSUSANI MANYONI MJINI TULISHEHEREKEA SHEREHE YA HARUSI YA KIJANA WA MAMA MSONGO ANAYEJULIKANA KWA JINA LA PASCAL, KIJANA HUYO ALIFUNGA NDOA NA FAITH, NDOA ILIYOFUNGWA KATIKA KANISA LA RC, PAROKIA YA KUPAA BWANA MANYONI NA KUFUATIWA NA TAFRIJA FUPI ILIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MAKTABA, HIVYO BASA BABA D. BLOG IMEAMUA KUKULETEA TUKIO HILO KATIKA PICHA...
VIJANA WA SHOW WAKIINGIA KWA MBWEMBWE
BWANA HARUSI & BI. HARUSI WAKIWA KATIKA
TABASAMU MWANANA KUJIANDAA KUINGIA
UKUMBINI
WAZAZI WA BWANA HARUSI WAKIWA
TAYARI KUWAPOKEA MAHARUSI
UKAWADIA WASAA, HAOO! BWANA & BIBI HARUSI
WAKAANZA KUINGIA UKUMBINI
LA HASHA, HAPO WANAKATA UTEPE KUINGIA
UKUMBINI BWANA! !!!!!
HAO! HATIMAYE WAKAINGIA NDANI YA NYUMBA
BINTI KAJIPINDA!!! ANAONESHA KIPAJI CHAKE
CHA KUYARUDI, CHEZEA BI HARUSI WEWE!!
MWENYEKITI NA KAMATI YAKE AKIWAKARIBISHA WAGENI
PICHA YA PAMOJA NA WAZAZI WA BWANA HARUSI
WAZAZI WA BI HARUSI NA NDUGU ZAKE
WAKIPATA PICHA YA PAMOJA
WAPAMBE NAO HAWAKUWA NYUMA
MAMA WA BWANA HARUSI AKITOA NASAA
BABA WA BI. HARUSI AKITOA NASAA KWA MAHARUSI
BWANA NA BIBI HARUSI WAKISIKILIZA KWA
MAKINI NASAA ZA WAZAZI
MAKINI NASAA ZA WAZAZI
BAADAYE IKAFUATIA NA BURUDANI YA KUFA MTU
UKAWADIA WASAA WA KUKATA KEKI
DAH! EBWANA TAAAAM!!!!!!
HAWA NAO WAKAKUMBUSHIA ENZI ZILE.....!
BI HARUSI AKIPELEKA KEKI UKWENI
BWANA HARUSI NA MPAMBE WAKE WAKIPELEKA KEKI UKWENI
MWENYEKITI WA KAMATI MWENYE SUTI
NA KATIBU WAKE WAKIPOKEA KEKI
UKAFIKA WAKATI WA KUFUNGUA SHAMPENI
MAMBO YA PWANI HAYO,
NA MTIKISIKO WA MWAMBAO
WATU WALITOKELEZEAJE!!!!!!
DUUH! HII NDO ILIKUWA ZAWADI YA FUNGA MWAKA
VIJANA WAKIKABIDHIWA ZAWADI YA BIBLIA NA WAZAZI, SASA MUISOME HIYO SIYO MNAIFUNGIA KABITI
HAYA BWANA! MKAKANDAMIZE MENU
MMILIKI WA HII BLOG NAYE HAKUKOSA
BABA D BLOG, INAPENDA KUWAPONGEZA MAHARUSI KWA KUAMUA KUFUNGA NDOA, TUNAPENDA KUWAKUMBUSHA KUWA, NDOA INA CHANGAMOTO ZAKE MUWE TAYARI KUPAMBANA NA HIZO CHANGAMOTO, TUNAWATAKIA KILA LA HERI KATIKA MAISHA MAPYA YA NDOA.
HABARI NA PICHA NA:
MWL. VENANCE F. (BABA D)
No comments:
Post a Comment