Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Friday, October 28, 2016

HALMASHAURI MPYA YA ITIGI YAZIBURUZA HALMASHAURI ZA SINGIDA MATOKEO DARASA LA 7. YASHIKA NAMBA 1. MKALAMA YASHIKA MKIA.

Ufaulu wa Mkoa wa Singida ni wa 69%, Mkoa umeshika nafasi ya 12 kitaifa. Mkoa wa Singida una Halmashauri 7. Nafasi za Halmashauri hizo kimkoa na kitaifa tazama jedwali hapa chini:


NAFASI HALMASHAURI UFAULU KWA ASILIMIA NAFASI KITAIFA
1 ITIGI 80%
38
2 SINGIDA VIJIJINI 74% 74
3 SINGIDA MANISPAA 72% 81
4 IKUNGI 71% 90
5 MANYONI 69% 100
6 IRAMBA 65% 116
7 MKALAMA 57% 155

No comments:

Post a Comment