TAARIFA KWA UMMA
Sanjari na uteuzi huo, JKT limewapangia Makambi ya JKT watakayokwenda kupatiwa mafunzo kwa muda wa miezi mitatu na wanatakiwa kuripoti makambini kuanzia tarehe 01-10 June 2018.
Wahitimu hao, wamepangiwa katika Kambi za JKT Rwamkoma – Mara, JKT Msange – Tabora, JKT Ruvu – Pwani, JKT Makutupora – Dodoma, JKT Mafinga – Iringa, JKT Mlale – Ruvuma, JKT Mgambo na JKT Maramba – Tanga, JKT Makuyuni – Arusha, JKT Bulombora, JKT Kanembwa, Nachingwea- Lindi na JKT Mtabila – Kigoma.
Aidha, wahitimu wenye ulemavu wa kuonekana kwa macho (physical disabilities) wanatakiwa kuripoti kambi ya Ruvu JKT iliyopo mkoani Pwani ambayo ina miundombinu ya kuhudumia wa jamii hiyo.
Vijana watakaochaguliwa watatakiwa kujigharamia nauli za kwenda na kurudi kwenye makambi ya JKT waliyopangiwa wakiwa na vifaa vifuatavyo:
- Bukta ya rangi ya Dark blue yenye mpira kiunoni (lastic), iliyo na mfuko mmoja nyuma, urefu unaoishia magotini isiyo na zipu. Aidha bukta za wanawake zinatakiwa kuwa na lastic magotini.
- Raba za michezo zenye rangi ya kijani.
- Shuka mbili za kulalia zenye rangi ya blue bahari.
- Soksi ndefu za rangi nyeusi.
- Nguo za kuzuia baridi kwa waliopangwa kwenye mikoa yenye baridi.
- Track Suit ya rangi ya kijana au bluu
Mkuu wa JKT anawakaribisha vijana wote walioteuliwa ili waweze kujiunga na vijana wenzao katika kujifunza Uzalendo, Umoja wa Kitaifa, stadi za kazi, stadi za maisha na Utayari wa kulijenga na kulitumikia Taifa letu.
KUTAZAMA MAJINA BOFYA LINK ZIFUATAZO KWA KILA KAMBI
NACHINGWEA JKT LINDI
MGAMBO JKT TANGA
MAKUTUPORA JKT DODOMA
RWAMKOMA JKT MARA
RUVU JKT PWANI
MTABILA JKT KIGOMA
MGAMBO JKT TANGA
MAKUTUPORA JKT DODOMA
RWAMKOMA JKT MARA
RUVU JKT PWANI
MTABILA JKT KIGOMA
Endeleo kutembelea blog yetu tutakujuza zaidia.
Ingia hapa youtube chenel yetu SUBSCRIBE kupata taarifa zaidi
Rayvanny 'Pochi Nene Remix'
sikiliza verse ya Billnass iliyoondolwa kwenye remix hiyo.
No comments:
Post a Comment