Hii ni kwa ajili ya rafiki zangu na rafiki wa Regina ambao walipenda kuhudhuria sherehe za kuagwa [Send off] kwa Regina S. Maffa lakini kwa namna moja ama nyingine wakashindwa kuhudhuria. Basi tumeamua kuwaletea baadhi ya picha za sherehe hizo ili kujua kilichojili. Sherehe hii ya 'Send off' ilifanyika Nyumbani kwao Regina katika kijiji cha Bashnet-Babati mkoani manyara tarehe 25/05/2013
Hapa tukiwa tumepumzika kabla hatujaelekea
ukweni ambako send off itafanyika
Hapa nikiwa na mama mzazi katika
viwanja vya ukweni tukisubiri shuguli kuanza
Hapa nikiwa na mpambe wangu Bw. Joreth kushoto
Nami nikiingia na wapambe wangu
Mama mkwe kulia, akimpokea mama mzazi kushoto
katikati wanaonekana kukumbatiana ni mzee wangu
Tukiendelea kuingia
Bi. Harusi mtarajiwa akiingia na wapambe wake
Bi. Harusi mtaarajiwa {kulia} na mpambe
wake wakiingiia uwanjani
Muagwa aliyeshika mic, akitambulisha ndugu na jamaa
Mdogo wangu, Waziri akitambulisha ndugu na jamaa
Baba mkwe akipiga cheers
Cheers ikiendelea
Bi. Harusi mtarajiwa akikata keki huku mpambe wake
akihakikisha vipande vinakatwa kwa size ya
midomo ya wageni wahudhuriaji
Baba mkwe akikabidhiwa keki na binti yake
Bi. harusi na mpambe wake wakimtafuta
Bw.Harusi mtarajiwa ambaye alifichwa kwelikweli
Hapa wamemuona jamaa, fataki inaandaliwa kulipuliwa
kama ishara ya kumuona wa moyo wake
Hapa tukilishana apple baada ya kuniona
Hao tukitoka mafichoni!
Tunaendelea kutoka
Tukielekea kwenye msosi
Bado tunaendelea kuelekea kwenye msosi
Tumefika tunapakia menu kama kawaida
Show kama kawa ilikuwepo ya kutosha tu
Show inaendelea
Walinogesha ile mbayaa na show za kijanja
Hapa baada ya kumaliza kula
Hapa akiniambia jambo!
Nami nikitoa ya moyoni
Baada ya hapo tulifunga na muziki kama kawaida
Mwenye suti, mdogo wangu Waziri, Katikati mzee mzima
mwenyewe, nyuma wife, pembeni hapo mama mzazi
********
MWISHO: Harusi itakuwa jijini Dar-es-salaam tarehe 15/6/2013, kama kawaida nawakumbusha michango yenu ya hali na mali, kwa mawasiliano au kutuma mchango wako, Tigo Pesa : 0715 33 55 58 naM- Pesa : 0755 44 06 99. Tuwashukuru wote ambao wametuunga mkono kwa michango yenu na kushirikiana nasi hadi kukamilisha shughuli hii ya Send off, MUNGU awabariki sana.