Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Thursday, April 17, 2014

MATOKEO YA RUFAA YA CSEE 2013 AWAMU YA KWANZA

Waliokata rufaa matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2013 wameendelea kuangukia pua, kati ya rufaa zilizokatwa hakuna hata mwanafunzi mmoja aliyafanikiwa kubadilika kutoka daraja moja kwenda lingine, wote wamebaki palepale katika madaraja ya awali, unataka kujua waliokata rufaa ni wangapi, masomo gani yaliyokatiwa rufaa, je na wewe ni mmoja wapo au kuna ndugu au jamaa yako aliyekata rufaa basi bofya hii link:

No comments:

Post a Comment