Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Saturday, July 4, 2015

KIKWETE AELEZA NAMNA WATAKAVYOMPATA MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM. WANANCHI WAMKOSOA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Mh. Jakaya Mrisho Kikwete ametoa kauli na mwongozo wa namna bora ya kumpata mgombea wa chama chao kugombea nafasi ya urais. Ameandika katika akaunti yake ya Twitter na kueleza jinsi watakavyompata mgombea kupitia chama hicho.INGIA HAPA KUSOMA KAULI YA KIKWETE NA MAONI YA WANANCHI KUHUSIANA NA KAULI HIYO

Asante kwa kutembelea blog yetu. Karibu tena. Usisahau kushare habari hii na wenzako.

No comments:

Post a Comment