Kufuatia gazeti moja la kila siku kubeba kichwa cha habari kinachosema "KUNA UNAFIKI CHADEMA" Inayosadikika kuwa imetamkwa na Bwana Wilfred Lwakatale, hatimaye Lwakatale aibuka habari na huku akisisitiza kuwa gazeti hilo si Mwananchi kama inavyoonekana hapa chini bali ni gazeti linalomilikiwa na CUF. soma maelezo yake chini
Habari yenyewe kwenye gazeti likidaiwa kuwa ni mwananchi
Hili ndo gazeti halisi lililoripoti
unadhani kwa nini mtu huyo alichakachua jina la gazeti?
Haya ndiyo maelezo ya Lwakatare kupitia ukurasa wake wa facebook
''gazeti lililoandika taharifa kama hiyo siyo mwananchi nifahamu ambalo linamilikiwa na cuf ambao kwa kiasikikubwa hawa kitakii neema chadema wala hawamtakii mema lwakatare aliyewahama kitambo.maneno kamahaya ya uongo kwa lengo la kuwagawa wanachadema nakemea yashindwe na
muyaache mara moja.lwakatare alikishukuru chama tena sana kwa kumsaidia nakuisimamia kesi yake mwanzo... mpaka mwisho naninukuu maneno aliyotamka hata siku ya mapokezi ''AMPROUD OF BEING AT CHADEMA'' SASA NYIE MNAOTAKAKUPINDISHA KAULI ZA WATU ACHENI AISE chadema huwa hakimalizwi kwa propaganda za uongo" Anaendelea kusema ''fahamu sio gazeti la mwana halisi na ni la zamani sana.hyo ya mwananchi iko edited na mtu kaonganisha kipande cha fahamu na cha mwananchi kudanganya watu" Mwisho wa kunukuu

No comments:
Post a Comment