Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Monday, June 17, 2013

TAZAMA PICHA ZA NDOA YA FURAHA VENANCE NA REGINA MAFFA ILIYOFUNGWA KATIKA KANISA LA ST. MAURUS- KURASINI NA TAFRIJA FUPI ILIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI POLICE BAND -KILWA ROAD TAR. 15/6/2013

Mambo ya pete hayo
Tukiweka sahihi kwenye cheti cha ndoa

Mara baada ya kukabidhiwa vyeti vyetu


Tukiwa nje ya Kanisa
Hili ndo gari la kuwabeba maharusi

Tukitoka Kanisani


Tukipata picha ya pamoja na Lena Mwakilembe

Bi harusi huyooooo

Akina mama wakiimba na kucheza ngoma za kinyakyusa

Mzee mzima nilijitutumua kweli

Mzee mzima nilijitutumua kweli




Bi harusi akiwa na shemeji zake, Meshack {kushoto] na Isaya {kulia}

Tukiingia ukimbini

Wazee wa zamani wakitoa burudani

Napenda kuwashukuru wale wote ambao waliniunga mkono kwa hali na mali, kwa michango yenu mliyojitolea kwa ajili ya kufanikisha jambo hili jema, Mungu awabariki sana na awazidishie maradufu kile mlichojitolea kwangu. Na wale walioniunga mkono kwa kuhudhuria katika shughuli hii Mungu awabariki sana.



No comments:

Post a Comment