Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Saturday, January 11, 2014

SUGU ENZI HIZO 1996 LIVE PERFORMANCE, SONG, NI WAPI TUNAKWENDA,

 
Katika kitabu chake Sugu, alichokipa jina la 'MUZIKI NA MAISHA' ukurasa wa 58 na 59 amezungua Show aliyoifanya Mnazi Mmoja jijini DSM, baada ya kuunganishwa na John Kitime, Sugu mwenyewe anazungumzia aliipania sana hiyo show, anaendelea kusema kuwa, "Waliokuwa wakiubeza muziki huu walipigwa na butwaa zaidi, Tanzania nzima ilishuhudia mlipuko ule kupitia ITV, tena Watanzania wa tabaka zote..."
 
 
Sasa tumekuletea show yenyewe, tunaamini wale tulioanza kufuatilia mziki huu tangu enzi hizo tutakuwa tumekumbuka mbali sana, Mzigo wenyewe huu hapa chini, icheck video hii mtu wangu.

No comments:

Post a Comment