Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Monday, September 15, 2014

HAYA SASA WAZEYA WA GOSPEL! MCHECK HUYU MKONGO NA WIMBO UNAOKWENDA KWA JINA LA LINGALA YA YESU NI NOOMA






Huyu jamaa anaitwa PIT SON Wimbo unakwenda kwa jina la Lingala ya Yesu, jamaa yuko poa vibaya mno. Bofya kwenye video hapo juu au kwenye jina lake kuicheck.

No comments:

Post a Comment