Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Wednesday, September 17, 2014

NAWASHUKURU MARAFIKI ZANGU WOTE KWA KUNITAKIA HERI YA SIKU YANGU YA KUZALIWA

Napenda kutumia nafasi hii kuwashukuru watu wote, familia yangu, baba na mama, mke wangu, mtoto wangu, jamaa na marafiki zangu wote kwa kampani yenu mliyonipa hadi kufikia siku hii kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu, Mungu awabariki sana, kampani yenu bado naihitaji sana

















Nawashukuru wote, Mungu awabariki sana

No comments:

Post a Comment