Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Monday, September 15, 2014

WAJUMBE WA KAMATI KUU CHADEMA HAWA HAPA, MNYIKA NAIBU KATIBU MKUU BARA


Wajumbe wa kamati kuu walichaguliwa leo ni hawa wafuatao kwa makundi yao
Ulemavu mgombea mmoja
Ndiyo 154
Hapana12
Eli marco macha ndiye mshindi
Kundi D zanzibar wanawake(1)
1.zifa Bakari 70
2.zainabu mussa 111
Kundi c wanaume kutoka zanzibar
1.salimu mwalimu 172
2.Nassaro ali 19
Kundi B wanawake kutoka bara
1. Cicelian pareso 75
2.chiku abwao 19
3.angela 86
4.catherine 97
5.susan kiwanga 93
Wajumbe kamati kuu wanaumne bara
1.Baregu 127
2.mpendazoe 20
3.makagenda 28
4.munishi 34
5.mbogoro 71
6.Dr yaled 77
7. Marando 164
Kwa msaada wa Henry Kilewo
NAIBU KATIBU MKUU BARA NI MNYIKA

No comments:

Post a Comment