Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Saturday, September 6, 2014

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2014 AWAMU YA PILI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA 
SERIKALI ZA MITAA

UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA TANO 2014 
AWAMU YA PILI

Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2014 awamu ya pili.Wanafunzi 8,101 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano awamu ya pili 2014, kati ya hao 4,987 wamepangwa tahasusi za sayansi ya jamii na biashara na wanafunzi 3,114 wamepangwa tahasusi za sayansi. Wanafunzi hawa wanatakiwa kuripoti kwenye shule walizopangiwa kuanzia tarehe 01 Septemba, 2014 na mwisho wa 
kuripoti ni tarehe 15 Septemba, 2014.

Imetolewa na Katibu Mkuu

OFISI YA WAZIRI MKUU – TAMISEMI
29 AGOSTI, 2014

 WASICHANA BOFYA HAPA

WAVULANA BOFYA HAPA


No comments:

Post a Comment