Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Wednesday, July 13, 2016

TCU WATOA VIGEZO VIPYA VYA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU


TCU yabadilisha vigezo vya kujiunga na Chuo Kikuu kwa ajili ya Shahada, ambavyo vilikuwa vikitumika tangu mwaka 2011. Vigezo vilivyokuwa vikitumika ni mwanafunzi awe amepata principle 2 ambazo ni kuanzia E. kwa sasa mwananfunzi atatakiwa kuwa na principle 2 ambazo sasa zitaanzia D kwa wale waliomaliza kidato cha sita kabla ya mwaka 2014. Waliomaliza mwaka 2014 na 2015 watatakiwa kuwa na principle 2 pia ambazo kwa wao itakuwa ni C na waliomaliza mwaka 2016 wao itakuwa kama waliomaliza kabla ya mwaka 2014 ambao watatakiwa kuwa na principle 2 ambazo ni D.

Vilevile TCU wametoa vigezo kwa wenye diploma na ngazi zingine za elimu. Kusoma masharti na vigezo hivyo bofya HAPA

No comments:

Post a Comment