Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Friday, November 2, 2012

Ernest Mangu (pichani chini)  ateuliwa kuziba pengo lililoachwa wazi na Liberatus Barlow
 
 
 
INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP), Said Mwema amemteua Ernest Mangu kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, kuziba pengo lililoachwa na Liberatus Barlow aliyeauawa kwa risasi hivi karibuni huko jijini Mwanza

No comments:

Post a Comment