Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Friday, November 2, 2012

 
JK KUTUA MANYONI TAR 5 NOV 2012 KUZINDUA BARABARA
RATIBA NZIMA HII HAPA
 
 
 
MH. RAIS atakuwa ziarani ktk wilaya ya Manyoni tarehe 5 nov  kwa mujibu wa maelezo ya mbunge wa manyoni Mashariki mh. Chiligati ratiba itakuwa kama ifuatayo, namnukuu kupitia post yake aliyoipost katika faceebook,"... na kwamba asubuhi atakuwa Itigi kuzindua ujenzi wa barabara uliyoitaja ya manyoni-itigi-chaya hadi Tabora kwa kiwango cha lami! na siku hiyo mchana atakuwa manyoni mjini ambako atazindua barabara ya lami iliyokamilika kutoka manyoni hadi Isina (53km) pia atahutubia mkutano wa hadhara! Hivyo wana manyoni mjini tujitokeze kwa wingi kuja kusalimiana na Mhe Rais wetu mpendwa! Barabara hizi ni fursa kwa wana manyoni kuzitumia kuboresha biashara na kilimo kwani zinasogeza masoko karibu yetu!kazi ya serkali ni kujenga mazingira(kuweka fursa) wanaozitumia wanapata maisha bora na wasiozitumia hubaki maskini!Tutumie fursa hizo ili tupate maisha bora! "Inawezekana , kila mmoja wetu atimize wajibu wake"
 
Hivyo wanamanyoni tuchangamkie fursa hiyo.

No comments:

Post a Comment