Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Monday, November 12, 2012

PICHA YA BIKRA MARIA YATOKEA KATIKA KIOOO CHA HOSPITALI HUKO MALAYSIA

Katika hali ya kushangaza zaidi, picha ya bikra Maria imetokea katika moja ya kioo cha hospitali moja inayoitwa Sime Darby Medical Hospital huko Malaysia. Baada ya watu kuiona picha hiyo walikusanyika na kuanza kusali, wengi wa waumini hao ni kutoka katika kanisa katoliki.
Wakati wengine wakiamini kwamba ni kitu kilichoandaliwa na mtu, watu wengi wanazidi kumiminika kuangalia picha hiyo.

 
 
 
Picha ya inayosemekana ni ya Bikira Maria ikionekana
katika mojawapo ya vioo vya hospitali hiyo
 
Waumini wakisali mara baada ya kushuhudia picha hiyo
 
Watoto nao hawakuwa nyuma kusali mara baada ya kuiona
picha hiyo

Chanzo: Bongoclan Blog

No comments:

Post a Comment