Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Monday, November 5, 2012

UZINDUZI BARABARA YA MANYONI - ISUNA KATIKA PICHA

Makada hawakuwa nyuma kuweka mambo sawa
 
Wananchi wakielekea eneo la tukio
 
Mkuu wa Wilaya ya Manyoni akijaribu kuweka mambo sawa
 
Vijana nao hawakuwa nyuma kuhakikisha mambo yanakuwa sawa
 
Magufuli akisisitiza jambo
 
 
 
Mh. John Pombe Magufuli akiteta na baadhi ya viongozi, aliyejishika kiuno ni
Mgana Msindai [Mwenyeki Mpya Mkoa wa Singida CCM], na Mh. Chiligati
mwenye miwani akimsikiliza Magufuli mwenye koti jeusi kwa umakini
 
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Manyoni akiteta jambo na Diana Chilolo
Mbunge viti maalumu Singida
 
Msafara wa Mh. rais ukiwasili
 
Mh. Rais akitambulishwa kwa viongozi wa idara na taasisi mbalimbali
wa Halmashauri ya Manyoni
 
Kapten Chiligati [mwenye koti la kitenge] hakuwa nyuma kuwaburudisha
 wananchi kwa kucheza ngoma ya Kigogo
 
Mkuu wa wilaya mama Fatuma Tawafiq akiwakaribisha wageni
 
Mkuu wa Mkoa akiongea na wananchi
 
Mh. Chiligati akiongea na wananchi wa Manyoni
 
Mh. Magufuli akishusha matakwimu
 
Wananchi wakifuatilia kwa umakini kilichojili
 
Rais akiwahutubia wananchi wa Manyoni
 
Wananchi walijaa kushuhudia uzinduzi wa barabara
 
Ulinzi na usalama wa raia ulikuwepo wa kutosha
 
JK akimwaga sera
 
Mkurugenzi na Mhandisi wa Maji wilaya uso kwa uso na JK jukwaani
 
Mkurugenzi na Mhandisi wa Maji Wilaya wakirudi mahala pao kuketi
baada ya kujibu maswali kadhaa waliyoulizwa na Mh. Rais
 
JK. akielekea lilipo jiwe la msingi
 
Hapa JK akionekana kufurahia Jambo
 
JK akifurahia jambo na viongozi mbalimbali
 
JK akiteta jambo na Magufuli
 
JK akisalimiana na wakazi wa Manyoni mara baada ya kukamilisha
zoezi la uzinduzi wa barabara ya Manyoni-Isuna
 
JK akiwaaga wananchi wa Manyoni
 
Wakazi wa Manyoni wakirudi makwao mara baada ya
shughuli ya uzinduzi kukamilika
 
Msafara wa JK ukitoka zilipo ofisi za Halmashauri ya Manyoni
 
Msafara wa JK ukitoka zilipo ofisi za Halmashauri ya Manyoni
 
Imeandaliwa na Furaha Venance

No comments:

Post a Comment