Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Tuesday, December 11, 2012

MKUTANO WA MH. TUNDU LISSU MJINI MANYONI KATIKA PICHA SIKU ALHAMISI TAR. 06/12/2012


Msafara wa Mh. Tundu Lissu ukiwa unaingia uwanjani
 
Hapa Tundu Lissu mwenye gwanda akiingia jukwaani tayari kwa kuhutubia
 
Viongozi wa Chadema wilaya wakimkaribisha Tundu Lissu kuwahutubia wakazi wa Manyoni
 
Tundu Lissu akihutubia wakazi wa Manyoni
 
 
Sehemu ya wakazi wa Manyoni wakimsikiliza Tundu Lissu kwa umakini
 
Kamanda Lissu akisisitiza jambo kwa wakazi wa Manyoni
 
Wengine iliwabidi kukaa chini kumsikiliza Tundu Lissu
 
Baadhi ya wakazi waliojitokeza katika mkutano huo wakimsikilza Lissu
 
Mwisho mwisho akikazikazia mambo
 
Watu wakipigishwa Peoplez power kufunga mkutano
 
 
Mh. Tundu Lissu akiingia katika gari yake mara baada ya kumaliza mkutano
 
Mama mwenye ulemavu wa ngozi akiteta jambo na Tundu Lissu
 
Wakazi wa Manyoni walizuia gari la mbunge huyo kueleza kero zao mbalimbali
 
 
Mh. huyoooo akiondoka eneo la mkutano mara baada ya kusikiliza kero za wananchi hao

No comments:

Post a Comment