Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Monday, December 9, 2013

MKUU WA WILAYA AJIUNGA NA CHADEMA

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya za Makete, Namtumbo na Mbozi ndugu, Gabriel Kimoi, amejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] leo hii, pichani chini, Akitangaza kujivua gamba na kuvaa gwanda huku, John Mnyika akimsikiliza kwa makini. [Habari na picha kwa hisani ya Henry Kilewo]


No comments:

Post a Comment