Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Saturday, April 27, 2013

PICHA ZA MKUTANO WA UZINDUZI WA KANDA YA MAGHARIBI ULIOFANYIKA TABORA

Zitto na Mbowe wakiwa jukwaa kuu
 
Kibao kinachoashiria uzinduzi wa Kanda ya Magharibi umekamilika
 
 
Picha ya juu na chini Zitto Kabwe akitema cheche
 
 Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mdogo wake Dr. Hamisi Kigwangala Mbunge wa Zenga [CCM], amejiunga na CHADEMA katika uzinduzi huo
 
Picha zimepakuliwa kutoka Jamii Forums

No comments:

Post a Comment