Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Wednesday, January 2, 2013

MATUKIO KATIKA PICHA NYUMBANI KWA SAJUKI BAADA YA KIFO CHAKE LEO HII

Wastara aliyejifunika shuka jeupe akilia kwa uchungu
 
Baba mzazi wa Sajuki akionekana kuwasiliana na ndugu na jamaa
 
Mama yake Sajuki wa kwanza kushoto
 
Dada yake Wastara ambaye anaonekana kama anasujudu akilia kwa uchungu
 
Bibi yake Sajuki akiwasili nyumbani kwa marehemu Sajuki
 
Baadhi ya waombolezaji wakiwa eneo la msiba nyumbani kwa Sajuki
 
Baadhi ya waombolezaji wakiwa eneo la msiba nyumbani kwa Sajuki
 
Baadhi ya waombolezaji wakiwa eneo la msiba nyumbani kwa Sajuki
 
Msanii wa filamu Simon Mwakifwamba kulia na Stanley Msungu [katikati] wakiteta jambo
 
Baadhi ya waombolezaji wakiwa eneo la msiba nyumbani kwa Sajuki
 
Baadhi ya waombolezaji wakiwa eneo la msiba nyumbani kwa Sajuki
 
Emmanuel Miyamba akiteta jambo na msanii mwenzake wa filamu Stanley Msungu
 
JB mwenye pensi ya kaki akiwa na baadhi ya wasanii wenzake wa filamu nyumbani kwa Sajuki

No comments:

Post a Comment