Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Friday, January 4, 2013

TAZAMA PICHA ZA MATUKIO YA MAZISHI YA MAREHEMU SAJUKI

Picha ya msibani kwa Sajuki sasa hivi hapa Kisutu Dar, Profesa Jay na Mwana Fa ni miongoni mwa niliowaona.
Mwili wa Sajuki ukisubiriwa, Profesa Jay akionekana kwa mbali miongoni mwa wanaousubiri mwili.
Baadhi ya umati wa watu wakiusubiri mwili wa Sajuki

Mtanga naye alikuwepo


 
 Mwili wa Marehemu Sajuki ndio unawasili sasa hivi.
Mwili wa marehemu Sajuki ukiwasili
Rais Kikwete pia amehudhuria mazishi ya marehemu Sajuki.

Masanja na Linex nao walikuwepo

Jeneza lilibeba mwili wa marehemu Sajuki


 


Mwili wa marehemu Sajuki ukipelekwa makubirini
 
Friends hapa ndipo atakapopumzishwa ndugu yetu Sajuki,Misiba ipo kukumbushana tu kwamba aliezikwa leo hazikwi tena kesho bali atazikwa alie zika leo.
Hapa ndipo utakapolazwa mwili wa Sajuki
 
 Rais Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Sajuki
 
 
 
Mwili wa Sajuki ndio umeshazikwa tayari. R.I.P 
 
udongo ukiwekwa katika kaburi la Sajuki
 
 
Kaburi la Sajuki ndo hili baada ya kuzikwa

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU SAJUKI MAHALI PEMA PEMONI--AMEN


No comments:

Post a Comment