Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Wednesday, September 4, 2013

WAPIGA KURA WA ZITTO KABWE WAKAMATWA WAKIDAIWA KUWA NI WAHAMIAJI HARAMU, ZITTO MWENYEWE AJA JUU.

Zitto KabweKufuatia wa  Kigoma wanaotoka jimbo la Zitto, kukamatwa wakidaiwa kuwa ni wahamiaji haramu, Zitto mwenye afunguka na hiki ndicho alichoandika katika ukurasa wake wa facebook:

Nimejulishwa kuwa Watu wa Kigoma wanaotoka jimbo la Kigoma Kaskazini wanaoishi Tegeta Dar es Salaam wamekamatwa kwamba ni wahamiaji haramu. Hii operesheni dhidi ya wahamiaji haramu inaweza kutugawa tusipokuwa makini. Nimempigia simu Waziri wa Mambo ya Ndani na Mkuu wa Uhamiaji kuwaeleza masikitiko yangu na kutaka Watanzania hao waachiwe mara moja. Nawaomba watu wa Kigoma wanaoishi Dar es Salaam watulie wakati tunatafuta suluhisho la jambo hili.

No comments:

Post a Comment