Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Thursday, October 3, 2013

SIKU YA KUZALIWA, DIAMOND AFANYIWA BONGE LA SUPRISE NA KIPENZI CHAKE PENNIEL

Hizi ndiyo picha na maelezo ya Diamond, kuhusu Suprise hiyo:


 Kila mtu anaithamini na kuipenda tarehe ya siku 
yake ya kuzaliwa,ni siku ambayo baadhi yetu huifurahia kwa
 mitindo tofauti tofauti kulingamna 
na nafasi aliyonayo mtu husika,lakini hebu
 jiulize how it feels ndani ya hiyo siku mhimu kabisa 
unapofanyiwa kitu kizuri na cha pekee na mtu
 mhimu maishani mwako,inapendeza siyo?hivyo ndivyo
 nilivyojiskia siku ya jana baada ya 
kufanyiwa suprise ya  birthday party
 na kipenzi changu,Penniel pamoja
 na Mama yangu mpenzi,dada yangu Esma,Halima kimwana 
na familia yangu kwa ujumla.
checkout picha zikijieleze zenyewe........
Ilikuwa ni baada ya kutoka kwenye 
uzinduzi wa Coke studio,kufika nyumbani 
Nikapokelewa kwa bashasha na Dada angu Queen Darlin(aliyeshikilia cake)

Na tuwaache washangae!!!

 

Mambo yakahamia chumbani sasa . wooow!!
 

Kupendwa ndio huku..Mtoto wa bi Sandra mie
 



We call it love
 

Picha ya pamoja na family

Baada ya hapo burudani kama kawa













Via: This is Diamond

No comments:

Post a Comment