Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Tuesday, August 4, 2015

DIAMOND PLATINUM AFUNGUA STUDIO YA KUREKODI KAMA UNAKIPANYI NI BURE KABISAAA! BOFYA HAPA KUJUA ALICHOSEMA

Haya yamesemwa leo na Diamond mwenyewe katika ukurasa wake wa facebook. hapa tunamnukuu kama alivyosema:


"Jana usiku nlitembelea Wasafi Records kuikagua na kuthibitisha kama kweli vijana washaanza kecordiwa nikakuta Nyimbo zaidi ya Nane zimesharecordiwa... ikabidi nami kwa Mara ya Kwanza nijaribu kutia Barka zangu... Studio Iko Sinza Mori kama unaamini kweli unakipaji, fika sasa Utarikodiwa Bure kabisa!!!"


No comments:

Post a Comment