Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Monday, August 10, 2015

LOWASSA AWASHUKURU WALIOMSINDIKIZA. HIKI NDICHO ALICHOWAAWAHIDI KUWALIPA


Pia katika ukurasa wake ameandika hivi:

Hakuna maneno yanatosha kuelezea furaha yetu leo, kwa maandamano haya ya amani na ya kihistoria nchini kutusindikiza mimi pamoja na Juma Duni kwenye ofisi za Tume ya Uchaguzi. Mmetupa nguvu na imani kubwa kwa wingi na hamasa mliyokuwa nayo. Mmethibitisha kuwa wananchi wakiamua hakuna anayeweza kupinga. Nimeona kiu ya mabadiliko na kwa hakika tupo tayari, na ninawaomba tuendeleze moto huu mpaka October.
Asanteni Sana



No comments:

Post a Comment