Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Monday, August 3, 2015

KAULI NZITO YA LOWASSA KWA WATANZANIA KATIKA BARAZA KUU LA CHADEMA. HAKIKA UCHAGUZI HUU PATACHIMBIKA


Akiwahutubia wajumbe wa Baraza Kuu Chadema Lowassa aliwataka wajumbe hao kuhakikisha wanachama wanaungana ili kuhakikisha wanashinda lakini kikubwa aliwaambia:


"Ndugu wajumbe hakikisheni watu wanapiga kura masuala ya Nec kutangaza mshindi niachieni mimi"


Aidha kada huyo mpya wa Chadema aliwaambia wajumbe hao kwamba ushindi uchaguzi ujao ni lazima maana mbinu za adui anazijua.


Haya sasa ni wanachadema hakikisheni mnapiga kura, TUME mwachieni Lowassa. Uchaguzi wa mwaka huu mbona utakuwa mtamuu aiseeeee! TUKUTANE OCTOBER 2015


No comments:

Post a Comment