Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Wednesday, August 5, 2015

ADAM MALIMA BAADA YA KUSHINDWA KURA ZA MAONI AIBUKA NA KUTOA KAULI YAKE. UNAJUA AMEZUNGUMZIA NINI, NA NINI HATIMA YAKE NDANI YA CCM?


“Mchakato uligubikwa na udanganyifu mkubwa, kura haziendani na uhalisia, pia mawakala hawakutia saini baada ya kumalizwa kwa upigaji kura katika vituo vyao, lakini ninaviachia vikao vya maamuzi vifanye kazi yake,” alisema Malima. (Chanzo: EATV)

No comments:

Post a Comment