Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Friday, August 7, 2015

MADIWANI WA CCM WAJIUNGA CHADEMA, AKINA NANI NA WAPI BOFYA HAPA

Madiwani wa wa ccm halmashauri ya Meru wajiunga CHADEMA leo.Wamepokelewa na kukabidhiwa kadi na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari wilayani Aruneru leo.Madiwani hao na kata zao ni
1. Loth Nnko (kata ya Maji ya Chai)
2. Godfrey Kishongo Mbisse (Nkoaranga)
3. Abraham Kaaya (Maroroni)
4. Mwanaidi Kimu (Makiba)





Chanzo: Joshua. Nassari

No comments:

Post a Comment