Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Monday, August 3, 2015

MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SINGIDA MGANA MSINDAI MFUATA LOWASSA CHADEMA


Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadai kwamba, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida ambaye pia aliwahi kuwa Mbunge wa Iramba Mashariki pande la mtu, Bw. Mgana Msindai ametangaza kujiuzulu wadhifa wake wa Uwenyekiti wa CCM mkoa na kujiondoa katika chama hicho na kuungana swahiba wake Bw. Edward Lowassa kwa kumfuata  CHADEMA. Huyu anakuwa kada wa pili baada ya Makongoro Mahanga kujivua uanachama wa chama hicho hapo jana Kuungana na Lowassa Peoplez Power. Taarifa zaidi zinasema wapo wenyeviti na makada wengine kibao watajiunga na chama hicho hivi karibuni. 

Msindai akiwasalimia makada wa Chadema leo hii
katika mkutano wa baraza kuu wa chama hicho

No comments:

Post a Comment