Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Wednesday, August 5, 2015

HABARI ZA HIVI PUNDE: MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA NGORONGORO NA MAKADA WENGINE WA CCM WAMFUATA LOWASSA CHADEMA

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ngorongoro Mhe. Elias Ngorisa, katibu wa fedha na uchumi wa ccm Wilaya ya Ngorongoro ma madiwani wajiunga CHADEMA mchana huu na kupokelewa na Mbunge wa arumeru mashariki Mhe. Joshua Nassari.




No comments:

Post a Comment