Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Tuesday, August 4, 2015

HIZI NDIYO KAULI 11 ZA LOWASSA MARA BAADA YA KUPITISHWA NA CHADEMA KUWA MGOMBEA URAIS



1. Lowassa: Nataka nichukue fursa hii kuwapongeza wale wenzangu waliojiunga nami, maamuzi                magumu lazima yafanyike.
2. Lowassa: Watanzania wajue katika muungano huu tuna nguvu kubwa, nguvu ya kuweza kuchukua       dola asubuhi oktoba 25. 'alfajiri'
3.  Lowassa: Marafiki zangu na ndugu zangu mlioko Z'bar nawaambia hadharani kwamba nimejiunga       na mtu ambaye havunji muungano
4. Lowassa: Kwa watu ambao wamehangaika juu ya nchi hii ni viongozi wa dini, Gwajima, Kakobe na         wengine asanteni sana.
5. Lowassa: CHADEMA 'I came to join you for a reason; , kuwaondoa CCM madarakani

 6. Lowassa: Nataka kuwahaidi kuwa nitapita kila jimbo la nchi hii, kwahiyo unapoondoka hapa                    kajiandae     katika jimbo lako.
7. Lowassa: Niliwahi kuwaambia waandishi wa habari kwamba sina msamiati wa kushindwa
8. Lowassa: Mchaka mchaka .....chinja... Aluta continue ..Nawashukuruni sana kwa kunisikiliza.                 Tutakutana kwenye majimbo

9. Lowassa: Mbowe nilikuwa nakuona kama kijana wa kawaida tu kama mimi kumbe una uwezo wa           hali ya juu. Hongera sana.

10. Lowassa: Chadema mna moyo wa kujitolea 

11. Lowassa: Safari ya mabadiliko nje ya ccm.

HABARI MPYA ZILIZOTOKEA LEO BOFYA HAPA CHINI

WAKATI LOWASSA AKIPITISHWA KWA KAULI MOJA KUWA MGOMBEA WA UKAWA KWA TIKETI YA CHADEMA, MAGHUFULI ATINGA NEC KUCHUKUA FOMU. TAZAMA HALI ILIVYOKUWA HUKO CCM

DIAMOND PLATINUM AFUNGUA STUDIO YA KUREKODI KAMA UNAKIPANYI NI BURE KABISAAA! BOFYA HAPA KUJUA ALICHOSEMA

TASWIRA YA MKUTANO MKUU WA CHADEMA INAVYOONEKANA HIVI SASA MLIMANI CITY

HIZI NDO PICHA ZILIZOSABABISHA SHILOLE KUFUNGIWA MWAKA MMOJA KUTOJISHUGHULISHA NA SANAA. ZITAZAME HIZO PICHA HAPA KISHA MSIKILIZE ANAVYOJITETEA

No comments:

Post a Comment