Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Blog ya kijanja kwa ajili ya watu wajanja

Thursday, August 6, 2015

KONA YA KUREKEBISHA TABIA: WANASANII WENYE NDOTO ZA KUWA WANASIASA/VIONGOZI WA KISIASA TUSIWE NA TABIA HIZI

KONA YA KUREKEBISHA TABIA

Wasanii ambao wana ndoto za kuja kuwa wanasiasa wanatakiwa kuwa makini sana na maisha yao hususani kati suala la maadili. hapa tunakuletea baadhi ya wasanii ambao wamejiingiza katika siasa lakini ukiwatazama matendo yao hayafai kabisa kwenda mjengoni. Leo tunaanza na wasanii wawili Wema na Irene Uwoya.

Wema Sepetu
Huyu ameanguka katika kura za maoni Ubunge viti maalumu mkoa wa Singida.








Irene Uwoya 
Huyu ameongoza katika kura za maoni kupitia chama cha CCM ubunge wa witi maalumu Mkoa wa Tabora







Ni wajibu wa wasanii kubadilika maana wao ni kioo cha jamii. Kama wasanii tuna ndoto za kuwa viongozi wa taifa hili hapo baadae basi tuishi kama utamaduni na mila za watanzania zinavyotaka tuwe. Bila shaka wasanii hawa watakuwa wamejirekebisha kama ndoto zao kweli ni kuja kuwatumikia watanzania.

Nini Maoni yako


No comments:

Post a Comment